Home

Habari Mpya
Habari za Uchaguzi
Hotuba za Mawenyekiti
Hotuba Mbalimbali
Jarida la Mkereketwa
Viongozi wa CCM
Wanachama wa CCM


 
  • Binadamu wote ni Sawa
  • Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
  • Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru

 

AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI


(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
 

 

 

.

Toa Maoni
Barua Pepe
Viunganishi
Jiunge Sasa
Wasiliana Nasi
  Uwanja wa Makada | Makala | Mafanikio ya Sekta | Mwelekeo wa CCM  
IMANI YA CCM   MASHARTI YA UANACHAMA   MALENGO YA CCM

Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa

 

Ni rahisi kujiunga na CCM kwani masharti yetu yanamlenga mwananchi yeyote muadilifu

 

CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo

    .    

© COPYRIGHT 2005.
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) TANZANIA